ocr: Bonyeza nambari ya buluu kurekebisha saa. Kisha bonyeza kifungo chekundu kurekebisha dakika. Utaisikia saa. Bonyeza saa uisikie tena. Kama iko maikrofoni kwenye kompyuta, unaweza kujirikodi Bonyeza kifungo chekundu na useme sawa sawa. Bonyeza kipanya' ukitaka kusita kujirikodi. Kisha bonyeza kifungo cha buluu na ulinganishre.